Monday, 19 June 2017

UNIQUE PICTURES

THE UNIQUE FLOWERS COMPANY

Unique flowers company ni kampuni ya kipekee ambayo inapatikana Zanzibar.katika mtaa wa Mlandege mkabala na Bombe Bazar.katika kampuni yetu tunajishughulisha na biashara ya maua.tunauza maua ya  aina mbalimbali  ikiwemo maua kwa ajili ya  harusi,maua kwa ajili ya  siku ya kuzaliwa,maua kwa ajilli ya  majumbani na maofisini.vile vile tunauza maua kwa ajili ya kupambia masteji kwa ajili ya shughuli mbalimbali kama vile Mikutano,Harusi n.kHaya yote utayapata katika maduka yetu yaliopo.Mtendeni mkabala na afidi kuu ya chama cha CUF.kwa upande wa Unguja na kwaupande wa Pemba Chakechake mkabala na uwanja wa mpira wa Gombani. kwa maelezo zaidi tembelea  ukurasa wetu wa goodnature.blogspot.com. kwa ajili ya kujionea bidhaa zetu tofauti.






















 GOOGLE                                                                                                                           YOUTUBE