MAUA YA UANI

MAUA MAZURI YA KUPANDA UANI 

Haya ni aina ya maua ambayo hupandwa katika fensi za nyumba ndani au hata nje ya nyumba.Mauahaya huleta harufu nzuri ya kuvutia pia mchanganyiko wake wa rangi hupelekea muonekano mzuri wa mandhari ya nyumba au ofisi.






No comments:

Post a Comment